May 24, 2015

Baada ya changamoto za maisha jijini Dar es Salaam, walihamia Sengerema na kuanzisha Furniture Center


Wiki hii katika Maktedis Podium: Wafahamu "Super Triple" Hemedi (King Sofa), Jumanne na Rashid (Gaga)..Ni vijana wajasiliamali na wamiliki wa karakkana maarufu hapa sengerema..Sengerema Furniture!
Wote kwa pamoja ni wazawa wa jiji la Dar es Salaam lakini walihamia Sengerema baada ya kuona "FURSA" ya uhaba wa mafundi na wataalam wa kutengeneza sofa na furniture mbalimbali za ndani kama vile..kabati, dressing table n.k

Alinzisha Biashara Ya Kutengeneza na kuuza MAJENEZA, Sasa Anamiliki Karakana na Kaajili vijana zaidi ya 15: Maktedis Podium Episode 2.

Katika mwendelezo wa kipindi chetu, Maktedis Podium..wiki hii tupo na kijana, George Martine, Ni mkazi wa Sengerema-Mission.
Mjasiliamali kijana, baada ya kushindwa kuendelea na masomo ya ellimu ya juu, alijifunza ufundi stadi kisha kujiajiri..kwa kutazama fursa zilizopo hapa Sengerema, akaamua kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza MAJENEZA..Sasa anamiliki karakana yake maeneo ya Mission-Sengerema, na ameajiri zaidi ya vijana 15 katika biashara zake, ikiwemo hoteli (restaurant), karakana ya kuchomelea vyuma vya milango na madilisha (welding) na duka la kuuza viambatanisho vya shughuli za mazishi kama, pafyum, sanda n.k

Eikei Vision Social Enterprises : Embracing Positive Changes.

Eikei Vision: A family of social enterprises aimed at Embracing Positive Changes and  encourages communities to Create Their own Worlds. O...